SPIRIT OF SHACHAH Christmas Gift New Audio Release (December 26/2017)
Shalom shalom!
Kutoka BMC tena mnamo tarehe 26.12.2017 siku ya "Boxing Day" kikundi cha SPIRIT OF SHACHAH (SOS) kinatarajia kuachia nyimbo yao mpya ambayo itakuwa ni Audio na itatambulishwa kwenye moja kati ya vituo vya radio za injili zinazopatikana mjini Arusha na baadae kusambazwa katika vituo vyote nchi nzima. wimbo unaotarajiwa kutambulishwa unaitwa "MUNGU MKUU" ambao umetayarishwa na Mtayarishaji Elsifa Cephas.
Kaa tayari kuusikiliza wimbo huu unaompa Mungu utukufu, utapatikana pia Youtube, SoundCloud, iTunes na kwenye network nyingine zote.
Mungu akubariki sana.


No comments