LATEST UPDATES:

Tunayo sababu ya KUABUDU na KUSIFU | Bible & Mission Centre

Worship Generation

Shalom watu wa Mungu.
Familia hii ni ya Bible & Mission Centre hapa mkoani Arusha, Tanzania. Ni familia ambayo imejikita katika msingi mkuu wa kuyaona matendo makuu ya Kristo Yesu ambayo yeye Biblia inasema anaketi kaikati ya sifa hivyo kusudi letu kuu ni Kumuadhimisha MUNGU Muumba wa mbingu na Nchi kwa KUMUABUDU katika Roho na kweli.
Mtu wa Mungu uliyeitwa kwa jina la Mungu karibu tujumuike kumrudishia SIFA, HESHIMA na UTUKUFU huyu YESU ambaye yeye ni mpya kwetu kila siku, ni mambo mengi anatenda kwetu na tunauhitaji mwingi kutoka kwake ila kwa jumapili moja isiyotutosha kabisa kuziimba sifa zake tujumuike kwa pamoja kumtukuza huyu Yesu.

Na Pastor: David Vincent

Ikiwa unahitaji maelekezo namna ya kufika tafadhali wasiliana na watu wafuatao:
Philemon: +255 755 85 16 25
Proches: +255 757 20 61 19
Ebenezer: +255 765 57 35 45

KARIBU SANA NA MUNGU AKUBARIKI

1 comment:

  1. So lovely jamani, what a family!! Karibuni Sana watu wa Mungu tuimarishe familia hii na tuujenge mwili wa Kristo katika kituo hili cha SIFA yaani BIBLE & MISSION CENTRE.

    ReplyDelete